Search Movies Login Sign up
google-play-badge-min.png Download The Free Android App

Dayna - Naumia

Dayna - Naumia

< 00:05:37 > |

google-play-badge-min.pngGet the Free Android App for your phone
Huu ndio wimbo wa Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi... Read more

Ad:
Huu ndio wimbo wa Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.

Similar Movies to "Dayna - Naumia"

Couldn't find what you were looking for?

Search through thousands of movies below