FILAMU YA KINYOZI (Bongo Movie)
FILAMU YA KINYOZI (Bongo Movie)
< 01:47:52 > |
Get the Free Android App for your phone
Baada ya Mumewe kurudisha mapenzi kwa mwanamke wake wa zamani kisa yeye kushindwa kupata mtoto, Hadija anajikuta akiangukia katika penzi la Kinyozi, kwa kujua anatatua tatizo kumbe alikuwa akiongeza tatizo!... Read more
Baada ya Mumewe kurudisha mapenzi kwa mwanamke wake wa zamani kisa yeye kushindwa kupata mtoto, Hadija anajikuta akiangukia katika penzi la Kinyozi, kwa kujua anatatua tatizo kumbe alikuwa akiongeza tatizo! Fuatilia filamu hii yenye mkasa wa kusisimua.
Written & Directed by ADAM LEO
Produced by Darcity Empire
Usiache Ku subscribe kwa filamu bomba na nzuri kama hizi.